Wednesday, 29 April 2015


 Mwanaume akivaa vazi la suti anakuwa na muonekano tofauti na wakuvutia.

Vazi la suti linampendeza kila mwanaume bila kujali umbo lake au kimo chake, pia vazi la suti linavaliwa sana kwenye sherehe kwa mfano harusini, ofisini, na sehemu nyenginezo. Kuna aina nyingi za suti zenye kuvutia ambapo mvaaji anakuwa na fursa ya kuchagua aina ya suti aitakayo.
kila aina ya suti inavaliwa kulingana na sehemu husika.








Wednesday, 22 April 2015




Angalia mitindo mbalimbali ya magauni ya harusi moja wapo unaweza kuvaa kwenye harusi yako.