Gauni hili anatakiwa kuvaa bi harusi aliyekuwa mwembamba na mwenye urefu wa wastani pia gauni hili wanavaa sana maharusi wakristo wanapoenda kufunga ndoa kanisani. |
Vazi hili linampendeza mtu yoyote ila asiwe mnene awe mwembamba na mrefu wa wastani pia linavaliwa kwenye harusi. |
No comments:
Post a Comment